- 299 views
Gavana wa Kisumu Anyang Nyongo amesema kuwa serikali ya kaunti itafidia baadhi ya waathiriwa waliyopoteza mali yao kutokana na ubomoaji jijini humo. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kanuni za maendeleo za jiji la Kisumu, gavana Nyongo alisema kuwa serikali yake itabuni sheria zitakazotoa mfumo wa fidia kwa waathiriwa wa ubomoaji. Haya yanajiri wakati ambapo mashirika mbalimbali yamewasilisha malalamishi kortini dhidi ya serikali ya kaunti kufuatia ubomoaji katika muda wa miaka mitatu iliyopita. Baadhi ya miradi itakayotekelezwa katika kanuni hizo ni pamoja na ujenzi wa majumba ya kisasa na barabara.
Gavana Wa Kisumu atangaza kuwafidia baadhi ya waathiriwa wa ubomoaji
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 1 Jul 2025 - More than 14 million of the world's most vulnerable people, a third of them small children, could die because of the Trump administration's dismantling of US foreign aid, research projected on Tuesday.
- 1 Jul 2025 - Bangladesh on July 1 marks one year since students launched protests that culminated weeks later in the overthrow of the government.
- 1 Jul 2025 - A middle-aged man shocked an Eldoret court after confessing that he deals in bhang business as his only source of income.
- 1 Jul 2025 - Cameroon's Tourism Minister Bello Bouba Maigari has accepted his party's nomination to seek the presidency in an expected October election, with long-serving President Paul Biya yet to announce whether he plans to run for reelection.
- 1 Jul 2025 - KEBS has received several complaints.
- 1 Jul 2025 - The bill is "utterly insane and destructive". — Elon Musk
- 1 Jul 2025 - Police said they are investigating to establish whether the man drowned or was killed and dumped there.
- 1 Jul 2025 - The woman had a stab wound in the head.
- 1 Jul 2025 - His quest for freedom has been denied at the High Court and Court of Appeal.
- 1 Jul 2025 - Usaid-funded programs have prevented more than 91 million deaths globally, including 30 million deaths among children.