Gavana wa Kwale Fatuma Achani atoa mbuzi 144 kwa kikundi cha wakunga

  • | Citizen TV
    218 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani ametoa mbuzi 144 kwa kikundi cha wakunga eneo la Tsimba Golini eneobunge la Matuga.