Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti atoa leseni za kuendesha magari kwa vijana 800

  • | Citizen TV
    220 views

    Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ametoa leseni za kuendesha magari kwa vijana 800 pamoja na vyeti 400 kwa vijana waliohitimu kwa elimu ya dijitali.