Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo awataka wakenya wanaoishi Ughaibuni kuwekeza hapa nchini

  • | Citizen TV
    124 views

    Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo amewataka wakenya milioni nne wanaofanya kazi katika mataifa ya ughaibuni kuwekeza katika sekta mbalimbali humu nchini ili kusaidia kuongeza nafasi za kazi na kukuza uchumi wa taifa.