Gavana wa Meru Kawira Mwangaza awatembelea wanawake wajawazito hospitalini

  • | Citizen TV
    288 views

    Kama njia ya Kusherehekea siku hii ya wanawake ulimwenguni, gavana wa Meru Kawira Mwangaza anatembelea hospitali ya rufaa ya Meru kuwaona wanawake wajawazito, na wanaojifungua.