Gavana wa Murangá Irungu Kang’ata awaachisha kazi maafisa watano wa afya kwa kuzembea kazini

  • | Citizen TV
    538 views

    Gavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata amewaagiza wasimamizi watano wa afya katika kaunti hiyo kujiuzulu katika muda wa wiki mbili katika hatua ambayo anadai inalenga kuboresha huduma za afya katika vituo vya afya Murangá