Gavana wa Nakuru awasilisha hundi za ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    155 views

    Gavana wa kaunti ya Nakuru hii leo anawasilisha kundi za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi kutoka kaunti hiyo. Serikali ya kaunti inayoongozwa na Gavana Susan Kihika imetoa zaidi ya shilingi milioni mia tatu kwa ufadhili wa masomo