Gavana wa Trans Nzoia atakiwa kufika mbele ya Tume ya NCIC kuelezea utofauti wake na Naibu wake

  • | West TV
    105 views
    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya amesema yuko tayari kufika mbele ya kikao cha tume ya uwiano na maridhiano NCIC kujieleza kutokana na tuhuma za kukiuka vipengee kadhaa vya kanuni za tume hiyo