Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya awaonya madaktari wanaozembea kazini

  • | Citizen TV
    343 views

    Gavana wa kaunti ya Trans-Nzoia George Natembeya amesema anakerwa na baadhi ya madaktari ambao wanazembea kazini na kuwafanya wagonjwa katika kaunti hiyo kuhangaika kupata matibabu. Natembeya anasema ameanzisha mchakato wa kuwapiga kalamu madaktari hao iwapo hawatawajibika kazini