Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya awataka wakaazi kuzingatia kilimo zaidi

  • | Citizen TV
    310 views

    Wakaazi wa kaunti ya Trans Nzoia wametakiwa kujihusisha na maswala ya uzalishaji vyakula na kuepuka kukaa bila kazi. Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya anasema jitihada za kilimo zitabadili uchumi wa kaunti hiyo iwapo wakazi watatilia maanani bidii shambani.