Gavana wa Trans Nzoia Natembeya apewa mamlaka ya uongozi wa DAP-K

  • | Citizen TV
    2,449 views

    Gavana Wa kaunti ya Trans nzoia George Natembeya ameidhinishwa kuwa Naibu Wa Kiongozi Wa chama cha DAP -Kenya kinachoongozwa Naye Eugene Wamalwa. Natembea ameahidi kumaliza ukabila katika chama hicho huku viongozi Wa chama hicho nao wakiahidi kukiimarisha mashinani kwa kufanya uchaguzi Wa Viongozi wa mashinani.