Skip to main content
Skip to main content

Gavana Wanga aongoza shutuma dhidi ya gavana Kahiga

  • | Citizen TV
    6,202 views
    Duration: 2:32
    Nayae Gavana wa Kaunti ya Homa bay Gladys Wanga ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha Homa Bay ameongoza mkutano wa viongozi kutoka Nyanza kumshutumu Gavana wa Nyehi Mutahi Kahiga kwa kukejeli kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Viongozi hao wamechukizwa na matamshi ya Kahiga kuwa jamii ya Mlima Kenya huenda itafaidi maendeleo baada ya kifo cha Raila Odinga ambaye anadai alishurutisha serikali kupelekea maendeleo eneo la Nyanza na Magharibi pekee.