Skip to main content
Skip to main content

Gavana Wavinya afungua vituo vya ya habari na mawasiliano kuwezesha vijana

  • | NTV Video
    139 views
    Duration: 1:13
    Kufwatia juhudi za serikali kuu kugatua idara ya habari na mawasiliano katika ngazi ya kaunti, serikali ya kaunti ya Machakos imeanza kutekeleza hatua hiyo na kufungua vituo mbalimbali kuwezesha vijana. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya