Gavana Wavinya Ndeti akutana na wawekezaji

  • | Citizen TV
    73 views

    Kaunti ya Machakos imeandaa kikao maalum cha kujadili mbinu za kuwavutia wawekezaji katika jumba la mikutano kwenye uwanja wa mapumziko wa People's Park viungani mwa mji wa Machakos. Mkutano huo unaongozwa na gavana wa Machakos Wavinya ndeti na kuhudhuriwa na waziri wa biashara na viwanda Rabecca Miano.