Skip to main content
Skip to main content

Gaza wanasherehekea baada ya Trump kutangaza wamekubaliana ya amani

  • | BBC Swahili
    14,710 views
    Duration: 1:07
    Wapalestina wamekuwa wakisherehekea mitaani huko Gaza baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa Israel na Hamas wameafikiana kuhusu awamu ya kwanza ya makubaliano ya amani. Makubaliano hayo yatahusisha kuachiliwa kwa mateka wa Kiyahudi na wafungwa wa Kipalestina, kuondoka kwa majeshi ya Israeli na kuingia kwa misaada huko Gaza, lakini muda wa utekelezaji bado haujafahamika. Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure anaelezea zaidi. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw