- 299 viewsDuration: 2:48Nchini wametaja gharama ya juu ya karo na sare kuwa kizingiti kikuu cha mpito wa sekondari ya juu. Wazazi wengi pia wanasema mfumo wa elimu wa cbe haujaboreshwa ubora wake au kuleta mabadiliko yoyote. Utafiti wa kampuni ya infotrak ukionyesha mapungufu haya yameendelea kuzuia kufikiwa kwa mpito wa asilimia mia moja