Gharama ya masomo sasa huenda ikapanda zaidi kutokana na bei ya bidhaa mbali mbali

  • | K24 Video
    138 views

    Gharama ya masomo sasa huenda ikapanda zaidi kutokana na bei ya bidhaa mbali mbali kutarajiwa kupanda zaidi mwezi huu. Usimamizi wa shule mbali mbali tayari unalalamikia ugumu wa kuwakimu wanafunzi kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa kama unga na sukari.