Gilbert Masengeli asema polisi wameanzisha uchunguzi kubaini vifo vya wanafunzi 17 Nyeri

  • | Citizen TV
    1,640 views

    Kaimu Inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli amesema polisi wameanzisha uchunguzi ili kubaini kilichosababisha wanafunzi 17 kufariki kwenye mkasa wa moto katika Shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyer