Goat Foundation yazindua mradi wa kuinua wajane kiuchumi Kitui

  • | Citizen TV
    271 views

    Wajane zaidi ya 200 kutoka eneo la Miambani, Kitui ya kati, walipewa mbuzi wawili wawili kila mmoja dume na jike kutoka kwa shirika lisilo la serikali la Goat Foundation.