Skip to main content
Skip to main content

Godfrey Osotsi aishutumu UDA kwa kukwamisha usajili wa Linda Mwananchi Movement

  • | Citizen TV
    15,174 views
    Duration: 1:59
    Mwenyekiti wa chama cha Linda Mwananchi Movement Godfrey Osotsi ambaye pia ni seneta wa Kaunti ya Vihiga amemshutumu Rais William Ruto na wanachama wa UDA kwa madai ya kukwamisha usajili wa chama hicho.