Gor Mahia yatwaa taji la ligi kuu kwa mara ya ishirini

  • | Citizen TV
    1,242 views

    Timu ya Gor Mahia imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya taifa ya kandanda kwa mara ya ishirini baada ya kuiadhibu City Stars kwa mabao 4-0 katika uwanja wa Kasarani Nairobi.