Gredi-9 I Wanafunzi wengi hawana uelewa kuhusu taaluma za kusomea

  • | KBC Video
    20 views

    Zaidi ya wanafunzi laki-4 wa gredi ya 9 ambao ni asilimia 35 ya wanafunzi milioni 1.2 wanaotarajiwa kujiunga na gredi ya 10, hawana uelewa ktaaluma ambazo wangependa kusomea kati ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM), Sayansi ya Jamii, na Sanaa na Sayansi ya Michezo licha ya shughuli ya uteuzi wa shule kukamilika mwezi jana. Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya wakfu wa Zizi Afrique na shirika la Usawa Agenda, ambayo inaonesha kuwa asilimia 60 ya wanafunzi wanataka kuendelea na masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati, asilimia 68 wakiwa wavulana na asilimia 59 wakiwa wasichana. Kasichana Masha na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive