Greenbelt Movement yataka Friends of Karura kusimamia msitu

  • | NTV Video
    125 views

    Shirika la Green Belt limesema kuwa uamuzi wa Huduma ya Misitu ya Kenya kuchukua usimamizi wa Msitu wa Karura unatishia ajira za wafanyakazi na kuIondoa jamii ambayo imekuwa kiungo muhimu katika kuokoa msitu huo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya