Greenlands: Shule yawapa wasichana waathiriwa wa SGBV nafasi ya pili

  • | NTV Video
    108 views

    Elimu yao ilipunguzwa kutokana na mimba zisizotarajiwa katika umri mdogo, ikiashiria unyanyasaji wa kingono na kijinsia (SGBV) katika jamii. Baadhi yao walifukuzwa kutoka kwa familia zao na kukata tamaa maishani wakaachwa bila la kufanya. Shule ya Upili ya Wasichana ya Greenlands ilifungua milango yake Mei mwaka uliopita na inawapa mwanzo mpya katika harakati za kutimiza ndoto zao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya