16,138 views
Duration: 1:56
China imezindua silaha kubwa katika gwaride la kijeshi lililofanyika kuadhimisha ushindi wake dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia.
Miongoni mwa silaha zinazoonyeshwa ni 'robot-wolves' ambazo zinaweza kutumika kwa uchunguzi na kombora la Dongfeng-5, ambalo linaweza kutumika kulenga Marekani, kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya ulinzi Alexander Neill .
#bbcswahili #china #japan
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw