Hafla ya kuonyesha talanta yafanyika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    363 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watoto hii leo wazazi wamehimizwa kutumia muda huu wa likizo kuwapa wanawao nafasi ya kukuza talanta zao. Haya yalisemwa wakati wa hafla ya kuonyesha talanta iliyofanyika kaunti ya Kajiado