Haji Manara: Sikuwahi kufikiria ningewahi kufanya kazi klabu mbili

  • | BBC Swahili
    622 views
    Haji Manara @hajismanara ni Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga. Je anajutia kutoka Simba kwenda Yanga? Je ni msemo gani aliwahi kuutoa katika kuhamasisha soka ambao anajivunia? ungependa kujua ndoa nyingine lini? @hajismanara atazungumza yote haya katika Nyota wa Afrika Masharaiki na @regina_mziwanda kuanzia majira ya saa nane mchana kupitia ukurasa wa BBCSwahili YouTube na Facebook #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Chapters 0:00:00 - Haji Manara ni nani? 0:06:10 - Kuitwa Simba kuwa msemaji 0:08:26 - Kipaji cha uhamsishaji alisomea wapi 0:10:20 - Utambulisho bora aliowahi kuufanya mpirani 0:16:35 - Kuhitajika wiki ya wananchi 2025 0:23:16 - Uelekeo wa soka la Tanzania 0:25:50 - Kudanganya umri soka la vijana 0: 33:00 - Uwekezeji wa viwanja bila mbinu 0:40:00 - Manara na Uchawa 0:46:41 - Mipango ya kuoa tena 0: 54:34 - Misemo yake anayojivunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw