Skip to main content
Skip to main content

Haki za walemavu kwenye uchaguzi

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 1:46
    Ukosefu wa vifaa maalum vya walemavu vinavyowasaidia kuweka siri yao wakati wanapopiga kura ndiyo changamoto kuu iliyonakiliwa katika chaguzi ndogo kwenye baadhi ya maeneno nchini. ‎Haya ni kwa mujibu wa waangalizi wa Uchaguzi mdogo katika wadi ya Kabuchai/Chwele katika kaunti ya Bungoma wa kikundi cha Inuka chini ya Angaza kura initiative ambao wanasema kuwa walemavu walikuwa na wakati mgumu kushiriki kwenye shughuli hiyo