'Hakuna mahali pa kwenda'

  • | BBC Swahili
    1,003 views
    Mapigano kati ya Hezbollah na Israel yamesababisha watu wengi kuhamishwa kutoka pande zote za mpaka wa Lebanon huku kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran likiendesha mashambulizi dhidi ya Israel kwa kushirikiana na Hamas. #bbcswahili #israel #hezbollah Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw