Hali ya taharuki imeendelea kugubika eneo la Rombo

  • | Citizen TV
    1,106 views

    Hali ya taharuki imegubika eneo la Rombo, Kajiado kusini huku wakazi wakitaka asasi za usalama kuingilia kati na kutuliza hali. eneo hilo limekumbwa na msukosuko ambao unadaiwa kuchochewa na mzozo wa ardhi.