Hali ya taharuki inaendelea Transmara

  • | Citizen TV
    1,444 views

    Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo la Transmara kufuatia mapigano mapya yaliyozuka katika mpaka wa Enoretet na Nkaararo. Idadi ya watu wasiojulikana wanaendelea kuuguza majeraha ya mishale katika siku ya tatu ya machafuko yanayohusisha makundi mawili ya vijana.