Skip to main content
Skip to main content

Hali ya taharuki yatanda Pokot Magharibi kufuatia mauaji ya mwanamke aliyepigwa risasi na majangili

  • | NTV Video
    423 views
    Duration: 1:52
    Hali ya taharuki inazidi kutanda katika Kaunti ya Pokot Magharibi kufuatia mauaji ya mwanamke aliyepigwa risasi na majahili katika kijiji cha Songok. Tukio hilo limeongeza idadi ya vifo kufikia watu 19 na zaidi ya mifugo 700 kuibwa tangu mwaka huu uanze. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya