Skip to main content
Skip to main content

Hali ya wasiwasi imetanda Kitengela baada ya wanawake wawili kupigwa risasi katika vurugu

  • | Citizen TV
    5,790 views
    Duration: 2:56
    Hali ya wasiwasi imetanda mjini Kitengela kaunti ya Kajiado kufuatia vurugu zilizosababisha kupigwa risasi kwa wanawake wawili. Inadaiwa ghasia zilizuka baada ya wahuni kuingilia mzozo wa siku tatu kati ya wachuuzi na maafisa wa serikali ya kaunti . Wachuuzi wanapinga kuhamishwa kutoka barabarani hadi ndani ya soko jipya lililojengwa huku serikali ya kaunti ikisisitiza sharti wahame