- 461 viewsDuration: 3:32Hali ya wasi wasi imetanda katika shamba la Kedong lililoko kaunti ya Nakuru baada ya watu wasiojulikana kuweka makasha yenye maandishi ya kutangaza kuuzwa kwa shamba hilo ambalo limekumbwa na mzozo wa muda mrefu. Wakazi wanaoishi kwenye ardhi hiyo kutoka jamii ya Maasai wanasema licha ya kuwepo kwa kesi mahakamani kuhusu umiliki wa ardhi hiyo, wamepigwa na butua kuona mabango ya kutangaza kuuzwa kwa shamba hilo