Hamasisho na kampeni ya kupima vijana HIV yaanzishwa huko Migori

  • | Citizen TV
    270 views

    Idara ya afya kaunti ya Migori kwa ushirikiano na mashirika mengine imeimarisha kampeni za kuhamasisha jamii kipimwa ili kujua hali yao baada ya visa vya virusi vya HIV kuongezeka. Wanaolemgwa katika kampeini hii ni vijana walio na umri wa chini ya miak 24