Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets kukabiliana na Zambia katika mechi ya kirafiki Jumamosi

  • | Citizen TV
    43 views
    Matayarisho yamekamilika tayari kwa kikosi cha Harambee Starlets kuwakabili wenyeji Zambia kwenye mchuano wa kirafiki wa mataifa manne siku ya Jumamosi.