Harambee Stars yajiandaa kwa mechi ya Jumamosi

  • | Citizen TV
    286 views

    Timu ya taifa ya kenya Harambee Stars ilifanya mazoezi kuelekea mchuano wake wa kirafiki dhidi ya Chad utakaochezwa uwanjani Marrakech nchini Morocco Jumamosi jioni.