Hati Miliki za ardhi Mau

  • | Citizen TV
    120 views

    Katibu wa Wizara ya Ardhi, Nixon Korir, amesema kuwa Serikali imekamilisha upimaji wa ardhi ya Mau ambapo sasa mpaka wa msitu na ardhi ya jamii utabainishwa ili kutoa suluhu ya mzozo wa ardhi ambao umekuwepo kwa muda mrefu .