Hatua za kifo cha Mwanablogu Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    4,557 views

    Maswali yameendelea kuibuka kuhusu kifo tata cha mwendazake mwanablogu Albert Ojwang’ aliyechukuliwa nyumbani kwao Ijumaa mwendo wa saa saba mchana na kufikishwa katika kituo cha polisi cha Central Nairobi saa 32 baadaye. Maafisa sita wa polisi walimchukua nyumbani kwao kokwanyo kaunti ya homa bay, huku ripoti ikiashiria kuwa marehemu alipigwa hadi kufariki.