Waridi wa BBC: Mama alinifundisha kuimbia wageni nyumbani wakati yeye akiwaandalia chakula

  • | BBC Swahili
    70 views
    Vanissy Uwase, mwimbaji wa nyimbo za injili mtaani aliyejizolea mashabiki katika mitandao ya kijamii kwa umahiri wake wa kuimba huku akipiga gitaa bila kujali umati unaomzunguka. Ni mkufunzi wa masuala ya uimbaji na muziki kutoka Congo, ambaye kwa sasa anaishi nchini Kenya. Amemsimulia Martha Saranga changamoto zipi hukumbana nazo kama mwimbaji wa injili mtaani, hasa katika mazingira ya miji mikubwa kama Nairobi? #bbcswahili #kenya #drcynthiacolon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw