'Hatujui kusoma na kuandika lakini tunaweza kuhesabu'

  • | BBC Swahili
    292 views
    Miaka 25 iliyopita, Benki ya Ushirika ya Wanawake ya Maan Deshi ilikuwa benki ya kwanza ya India kuanzishwa na wanawake kwa ajili ya wanawake. Benki Kuu ya India hapo awali ilikataa ombi lao la leseni ya benki kwa sababu wanawake hao walikuwa hawajui kusoma na kuandika. Lakini hiyo haikumzuia rais wa benki hiyo kutimiza lengo lake. #bbcswahili #india #wanawake