Hazina ya nyumba haina mfumo wa kisheria wa kuisimamia

  • | K24 Video
    30 views

    Mkenya ambaye hajaajiriwa atafaidika na mradi wa nyumba za bei nafuu iwapo atakuwa akitoa mchango wake katika hazina ya nyumba bila ya hivyo ataambulia patupu. Hayo ni kwa mujibu wa katibu katika wizara ya nyumba Charles Hinga ambaye leo ameungama kuwa hakuna sheria inayotoa mwongozo wa jinsi hazina ya nyumba inayopendekezwa katika mswada wa fedha 2023 itafanya kazi