Hisia zatawala katika ibada ya wafanyakazi wa AMREF waliofariki kwenye ajali ya ndege

  • | Citizen TV
    499 views

    Ibada ya wafu kwa wafanyakazi wanne wa shirika la AMREF waliofariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea eneo la Mwihoko majuma matatu yaliyopita imefanyika leo. Ni ibada iliyowaleta pamoja jamaa, marafiki na hata wafanyakazi wenza, pamoja na waathiriwa wengine wawili walioaga dunia kufuatia ajali hiyo