Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya haki za binadamu yadai vifo vya watu 3,000 kufuatia machafuko ya uchaguzi Tanzania

  • | Citizen TV
    17,295 views
    Duration: 3:13
    Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini sasa yanadai kwamba zaidi ya watu 3000 wameuawa nchini Tanzania kufuatia machafuko ya uchaguzi. Makundi hayo yakizua hofu kuwa waliouawa walizikwa kisiri katika kaburi la pamoja. Haya yanajiri huku familia ya mwalimu John Okoth Ogutu aliyeuawa nchini Tanzania ikiendelea kuhangaika wasijue iwapo watapata mwili wake ili kuuzika