12,117 views
Duration: 28:04
Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimepamba moto, lakini zaidi zikitawaliwa na chama tawala, Chama Cha Mapinduzi, CCM, ambapo viongozi wake wakuu wamesambaa katika kona nyingi za nchi. Hata hivyo, tofauti na chaguzi zilizopita, uchaguzi wa awamu hii hautakuwa na ushiriki wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambacho ndicho kinachoonekana kuwa na nguvu ya kutosha kumenyana kwa uwiano na CCM.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw