Skip to main content
Skip to main content

Hofu yatanda kuhusu magenge ya wahuni kabla ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    1,883 views
    Duration: 2:46
    Kuwepo kwa magenge ya wahuni kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini kumezua wasiwasi miongoni mwa Wakenya. Wengi wanajiuliza kwa nini serikali imeshindwa kukabiliana na makundi hayo yanayohusishwa na visa vya vurugu na ukosefu wa usalama. Wakati huo huo, serikali na upinzani wamekuwa wakituhumiwa kwa kutumia vijana wasio na ajira kwa maslahi ya kisiasa, hali inayozua hofu kuhusu usalama kuelekea uchaguzi mkuu.