Hoja ya kubuni kamati kisheria yawasilishwa bungeni

  • | Citizen TV
    456 views

    Hoja ya kutambua kamati ya maridhiano kisheria baina ya serikali na upinzani imewasilishwa bungeni. Hii ni baada ya kamati hiyo kutaka viongozi wa pande zote bungeni kufanikisha mazungumzo hayo kwa kuyaanzisha rasmi.