Hoja ya kujadili mienendo ya Rais Ruto yawasilishwa Seneti

  • | Citizen TV
    4,089 views

    Huku mjadala wa kumuondoa ofisini Naibu Rais Rigathi Gachagua ukiendelea, hoja nyingine ya kujadili utendakazi wa Rais William Ruto imewasilishwa katika bunge la Seneti.