Hospitali imeharibika kiasi cha kutofaa kwa wagonjwa

  • | Citizen TV
    1,772 views

    Maseneta wamekumbana ana kwa ana na hali mbaya ya hospitali ya kaunti ndogo ya Timau kaunti ya Meru ambako majengo yake yameharibika na uchafu kuzagaa hospitalini. Mbali na hali hii, huduma za hospitali kamwe hazijakuwa zikitolewa kwani hakuna wahudumu wa afya ya kutosha na hata vifaa vya matibabu.