Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Avenue,Parklands yazindua maabara maalum ya matibabu ya maradhi ya moyo

  • | KBC Video
    254 views
    Duration: 2:53
    Wagonjwa wa moyo kote nchini wanatazamiwa kupata matibabu ya haraka na ya gharama nafuu zaidi, kufuatia uzinduzi wa maabara ya kisasa ya magonjwa ya moyo katika hopsitali ya Avenue jijini Nairobi. Wataalamu wa afya wameonya kuwa magonjwa ya moyo yamezidi kuongezeka, huku mtu mmoja kati ya wanne kwa sasa akiugua ugonjwa wa shinikizo la damu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive